­

Courses / Kozi

Certificate Courses.
1. Certificate in Primary school teacher. (Grade III A) (CHETI CHA UALIMU ELIMU YA MSINGI)
SIFA:
(a). Awe mhitimu wa Kidato cha nne na kupata ufaulu wa Division I-III (Pointi 07-25).
(b). Kwa walio hitimu kidato cha sita ni sifa yanyongeza.
Muda wa kozi: Miaka 2.
2. Certificate in Accounting (Level I, II $ III)-CBA. (Uhasibu)
SIFA:
(a). Awe mhitimu wa Kidato cha nne na kupata ufaulu wa Daraja D walau kwa masomo 3 na kuendelea.
FULSA:
(O). Baada ya kuhitimu mafunzo, mhitimu atajiunga na Diploma ya Uhasibu, Ugavina ununuzi, Masoko na usimamizi wa biashara. (NTA 5 $ 6).
Muda wa kozi: Mwaka 1.
3. Certificate in Secretariate.
SIFA:
(a). Awe mhitimu wa Kidato cha nne na kupata ufaulu wa Daraja D walau kwa masomo 3 na kuendelea.
FULSA:
(O). Baada ya kuhitimu mafunzo, mhitimu atajiunga na Diploma ya Uhasibu, Ugavina ununuzi, Masoko na usimamizi wa biashara. (NTA 5 $ 6).
Muda wa kozi: Mwaka 1.
4. Kozi ya Tourism and Hotel Management ngazi ya cheti (Hospitality).
SIFA:
(a). Awe mhitimu wa Kidato cha nne
(b). Awe na pass katika masomo ya mtihani ya kidato cha nne..
Muda wa kozi: Mwaka 1.
5. Nusery School Teacher.
SIFA:
(a). Awe mhitimu wa Kidato cha nne na kupata pass mbili (D) na zaidi katika masomo yake.
Muda wa kozi: Mwaka 1..

Diploma Courses
1. Diploma in Accountancy - Coming soon!
2. Diploma in Journalism and mass communication - Coming soon!
3. Diploma in Law - Coming soon!

© 2017 - King Rumanyika Training College. Designed By: MATUNGWA GODFREY